logo
episode-header-image
Mar 2009
5 m

Mission Berlin 25 – Vurugu

DW.COM | Deutsche Welle
About this episode
Muda unayoyoma na Anna anamuaga Paul kabla ya kurejea tarehe 9 Novemba mwaka 2006. Atakapowasili atakuwa amebakiwa na dakika tano pekee. Je zitatosha? Huku zikiwa zimesalia dakika chache Anna akamilishe jukumu lake, mchezaji anamshauri kutumia fursa ya zogo lililopo kuondoka pole pole. Lakini hataki kuondoka bila kumuaga Paul sawasawa. Anna anachunguza mche ... Show More
Up next
Mar 2009
Mission Berlin 26 – Jaribio la Wakati
Anna anapowasili mwaka 2006, anamwambia Paul inawabidi kuukwamisha mtambo. Lakini wanahitaji alama ya siri. Anna anaufuata muziki na mwanamke mwenye mavazi mekundu anawasili. Je atamzuia Anna kutimiza lengo lake? Anna amerejea mwaka 2006 na anamwonyesha Paul ufunguo wenye kutu un ... Show More
5 m
Mar 2009
Mission Berlin 24 – Saa inayopiga
Anna analipata kasha la chuma lililofichwa katika mwaka 1961 lakini hawezi kulifungua kwa kuwa limechakaa. Anapofanikiwa kulifungua anapata ufunguo wa zamani. Je huo ndio ufunguo wa ufumbuzi wa siri? Muda unayoyoma na Anna ni lazima afungue kasha la chuma. Lakini mchezaji anamtah ... Show More
5 m
Mar 2009
Mission Berlin 23 – Tutaonana baadaye
Anna anadandia skuta ili afike barabara ya Bernauer. Mhisani wake ni Emre Ogur anayemtakia ufanisi mjini Berlin. Lakini atahitaji nini zaidi kumkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu ili apate kasha la chuma lililofichwa? Mchezaji anamwambia Anna kutafuta usafiri wa kwenda barabar ... Show More
5 m
Recommended Episodes
Aug 2009
Tukio 26 – Kumuaga Ayhan
Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe ... Show More
14m 57s
Aug 2009
Tukio 09 – Muziki wa Ludwig
Philipp pia anapata fununu ya kumtambua mgeni. Anaona tangazo gazetini la onyesho la muziki kumhusu Mfalme Ludwig. Akiwa njiani kwenda kwenye ukumbi, anawahoji watalii wanaozuru kutoka maeneo yote ulimwenguni. Huku Paula akiwa afisini mwake Berlin, Philipp naye anahangaika huku n ... Show More
15 m
Nov 2015
Kashi na 26 – Ban-kwana da Ayhan
Wannan rana ce ta bakin ciki a ofishin Radio D. Domin kuwa Ayhan yana ban-kwana kuma zai koma kasar Turkiyya. Duk da cewa abokan aikinsa sun shirya masa walima ta ba-zata, wannan bai kwantar masa da hankali ba. Paula ta zo aiki da safe ta samu kowa yana shirye-shiryen zuwa walima ... Show More
14m 39s
Aug 2009
Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli
Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee.Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchezo wao wa redio, Paula na Phil ... Show More
14m 10s
Aug 2009
Tukio 23 – Pezi la Papa
Paula na Philipp wanategua kitendawili cha mahali pa kwenda kumwangalia papa na kwa mara nyingine tena wanagundua ulaghai uliohusika. Hata hivyo mwanzoni sababu za tukio hilo si dhahiri moja kwa moja. Wakiwa katika harakati za kumtafuta mwanamichezo wa kuteleza baharini aliyetowe ... Show More
15 m
Nov 2015
Kashi na 24 – Daga teburin edita
Mujiya Eulalia ta taimaka wajen sa Paula da Philipp kan hanya. Sun gano cewa ashe abokan aikinsu da ke aiki a jaridar Hamburg na da hannu a cikin wannan al'amari. Paula da Philipp da mujiya Eulalia sun gano cewa ashe jaridar Hamburg ce ta shirya wannan abu a gabar teku domin su y ... Show More
15 m
Nov 2015
Kashi na 02 – Waya daga Radio D
Philipp har yanzu bai samu hutun da yake so ba. Bayan gama fafatawa da kwaron da ya dame shi, sai ya fuskanci hayaniyar makwabta. Yayin da kwatsam aka yi masa waya daga Berlin, sai ya baro kauyen a gaggauce. Bayan fafatawar da Philipp ya yi da kwari a can, sai ga karar zarto, da ... Show More
11m 46s
Aug 2009
Tukio 24 – Meza ya Mhariri
Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo. Paula, Philipp na Eulalia wanagundua kuwa wafanyikazi wa gazeti la Hamburg walitunga njama yote ya kuweko papa katika bandari ili wap ... Show More
14m 19s
Nov 2015
Kashi na 25 – Tarbar jiragen ruwa
'Yan jaridar sun yi kokarin gano ma'anar kalmar "getürkt", don haka suka kai ziyara wata gabar teku, inda kowane jirgi da irin tarbar da ake yi masa.A gabar tekun Willkomm-Höft, ana tarbar kowane jirgi ne da taken kasar da yake dauke da tutarta. A wasansu na rediyo, Paula da Phil ... Show More
14m 58s
Sep 2021
Mji wa Cowra waingia katika amri yakuto toka nje, wakati idadi ya kesi za maambukizi yaendelea kuongezeka Victoria
Mji wa kanda wa Cowra jimboni New South Wales, uli ingia katika amri yakufungiwa ndani kuanzia saa kumi na moja jioni ya Jumatatu katika jibu wa ongezeko la idadi ya visa vya COVID-19. 
10m 40s