The Berejiklian government has held on to power in New South Wales, making Gladys Berejiklian the state's first elected female premier.
-Serikali ya Berejiklian imesalia mamlakani jimboni New South Wales, hatua ambayo imempa Gladys Berejiklian sifa yakuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuongoza jimbo hilo.