Fred Kavishe mmoja wa waanzilishi wa TOT BONANZA (Tanzania On Twitter) bonanza kubwa linalowakutanisha watumiaji wa twitter sehemu moja ili kuweza kujuana zaidi na kuenjoy, Kwenye Episode hii tumeongelea mambo mengi sana kuhusu Bonanza hili kuanzishwa kwake,Changamoto na mambo mengi sana. Vilevile tulipiga story na Fred juu ya safari yake ya Kupunguza uzito ... Show More