logo
episode-header-image
May 2021
57m 53s

S03EP08 with Joyce Kiango📝

FOTTY
About this episode

Mwalimu ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu na walimu wamebadilisha maisha ya watu wengi sana. Leo nimefanya mahojiano na mwalimu wa watoto wadogo ambae amejichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye mitandao ya kijamii, tumezungumzia mambo mengi ikiwemo pia safari yake ya maisha mpaka kufikia hapo alipofikia sasa ivi na jinsi gani kumpoteza mama ake kulimfanya apitie kipindi kigumu sana kwenye maisha yake. Ni matumaini yangu utafurahia mahojiano haya na pia kuna kitu utajifunza.


Up next
Oct 2022
S04EP02 with Lucas Malembo 🚜
Kila mtu ana story yake kwenye maisha na haijalishi ni wakati mgumu kiasi gani unapitia kwenye maisha yako tambua kila mtu anapitia magumu yake. Lucas Malembo ni mwanzilishi wa "Malembo Farm" inayojishughulisha na maswala yote ya kilimo, Malembo ana amini kua kilimo kinaweza kute ... Show More
1h 24m
Oct 2022
S04EP01 with BIG 👶🏽
Kwenye maisha ya kila siku watu napitia mambo mengi ikiwemo kutafuta hela, stress za familia, stress za kazi n.k na mitandao inabidi iwe sehemu ya mtu kupata furaha hata kama siku yake ilikua mbaya kiasi gani. Kupitia mtandao wa twitter kuna kijana anaitwa "Big0047" yeye huwa ana ... Show More
58m 12s
Mar 2021
S03EP07 with Wakazi
Wakazi 
1h 54m
Recommended Podcasts
مع كامل احترامي - Ma3 Kamel A7terami
محمد عبد العاطي
رعب أحمد يونس
احمد يونس
احمد عامر: السيرة النبوية
Ahmed Amer
اشتري مني
TPP
د. طارق السويدان | السيرة النبوية ـ قصص الأنبياء
طارق السويدان
Kalam mn Lahb
Trend Media Stage
حواديت قبل النوم
أدهم أمين
Kefaya Ba2a | كفاية بقى
TPP
الأعمال الكاملة لـ د. أحمد خالد توفيق
Podcast Record
تجارب حقيقية حصرية
احمد يونس