Mpishi maarufu wa biriani anaejulikana kama Mudi Mabiriani ndo nilipata nafasi ya kufanya nae interview na kupiga nae stori hususani kuhusu biashara yake ya chakula aina ya Biriani. Kama ww ni mfanyabiashara au ni kijana tu mpambanaji basi amini una mengi ya kujifunza kupitia hii Episode. Tumeongelea juu ya Marketing anayoifanya ya biashara yake na pia kwa n ... Show More