Shamira Mshangama ni Mkurugenzi mtendaji na Muanzilishi wa Tasisi ya (Mwanamke na Uongozi) ni tasisi isiyokua ya kiserikali (NGO), yenye kazi ya kuhamasisha wasichana wenye Umri kuanzia miaka 12 kushiriki nafasi mbali mbali za uamuzi na kugombea Uongozi. Kwenye Episode hii tumeongea mambo mengi sana kuhusu Wanawake na changamoto gani wanazipata kwenye jamii ... Show More