Katika Episode hii nipo na mtaalam wa kupigia promo Samaki aina ya Dagaa na pia ni mtu wa kuweka wazi Maparody kwenye mtandao wa twitter yani watu wanaotumia Identity ambazo sio zao ili kuweza kujipatia Follows, Nimepiga nae story kibao bila kuhasau scandal yake ya kuzusha msiba na kula pesa za rambirambi. Kwenye mtandao wa twitter ana followers wasiopungua ... Show More