George Ambangile ni mchambuzi wa mpira na mtangazaji wa michezo wa WASAFI TV kipindi cha (Sports Arena & Sports Court) kwenye episode hii tumeongelea kuhusu safari yake ya uchambuzi na changamoto gani alizopitia mpaka kufika hapo alipofikia leo ukiachana na hayo tumeongea juu ya support aliyopata kutoka kwa familia yake wakati anapambania ndoto yake hii. Ana ... Show More