Geoffrey Lea ndio amehusika kwenye Episode hii ya 2 msimu wa 2 ni mchambuzi na mtangazaji wa michezo kutokea Efm, Kwenye Episode hii tumeongea mambo mengi kuhusu mpira wa miguu lakini vile vile mpira wa kikapu sababu yeye ni mpenzi wa kikapu pia vilevile ukiachana na hayo tuliongea kwa jinsi gani Mama ake (M/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi) amekua ... Show More