Interview na mtumiaji wa twitter anaejulikana kwa jina la Mpambazi moja ya vijana ambae ndo alikua kama Special Apearance (T.O.T bonanza 2020) tanzania on Twitter na watu wengi walikua wanatamani kumuona baada ya kuwa anainteract na mambo aliyokua akiyafanya kumpa umaarufu twitter, Ana followers wasiopungua Elfu 10 na account yake inazidi kukua kadiri siku z ... Show More