Miriam Mkanaka anajulikana twitter kama @miriammkanaka ni mwandishi,Motivational speaker na moja ya wakina dada wenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa twitter ana followers zaidi ya elfu 90 na wanazidi kadri siku zinavozidi kwenda. Kwenye Episode hii tumezungumzia jinsi gani Account yake ya Twitter imekua ikimuingizia pesa kwa matangazo anayokua akiyatweet ... Show More