Mcnika wa Lamar mimi napenda kumuita "SOCIAL MEDIA GURU" huyu jamaa nimeanza kuzijua kazi zake kabla ya kupata nafasi ya kumjua yeye. Anandaa memes ambazo kama hujawai kuweka kwenye status yako basi umeona kwenye status ya ndgu au rafiki ako, Tumeongea kuhusu uandaaji wake wa memes na pia kuhusu dili za matangazo mitandaoni sababu ana followers zaidi ya laki ... Show More