logo
episode-header-image
Feb 2021
48m 19s

S03EP04 with Mr & Mrs Mrusi 💍

FOTTY
About this episode
Episode hii nimeifanya special kwa ajili ya valentine kilichonifanya niwachague Mr & Mrs Mrusi ni kwa sababu wapenzi hawa twitter ndo iliwakutanisha kwa mara ya kwanza na baada ya hapo kufikia maamuzi ya kuoana, kwenye Episode hii tumezungumza mambo mengi kuhusu mahusiano na ndoa vile vile tumegusia maisha ya wawili hawa ndani ya ndoa. #PHONECALLBYFOTTY 
Up next
Oct 2022
S04EP02 with Lucas Malembo 🚜
Kila mtu ana story yake kwenye maisha na haijalishi ni wakati mgumu kiasi gani unapitia kwenye maisha yako tambua kila mtu anapitia magumu yake. Lucas Malembo ni mwanzilishi wa "Malembo Farm" inayojishughulisha na maswala yote ya kilimo, Malembo ana amini kua kilimo kinaweza kute ... Show More
1h 24m
Oct 2022
S04EP01 with BIG 👶🏽
Kwenye maisha ya kila siku watu napitia mambo mengi ikiwemo kutafuta hela, stress za familia, stress za kazi n.k na mitandao inabidi iwe sehemu ya mtu kupata furaha hata kama siku yake ilikua mbaya kiasi gani. Kupitia mtandao wa twitter kuna kijana anaitwa "Big0047" yeye huwa ana ... Show More
58m 12s
May 2021
S03EP08 with Joyce Kiango📝
Mwalimu ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu na walimu wamebadilisha maisha ya watu wengi sana. Leo nimefanya mahojiano na mwalimu wa watoto wadogo ambae amejichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye mitandao ya kijamii, tumezungumzia mambo mengi ikiwemo pia safari yake ya maisha mp ... Show More
57m 53s
Recommended Podcasts
مع كامل احترامي - Ma3 Kamel A7terami
محمد عبد العاطي
رعب أحمد يونس
احمد يونس
احمد عامر: السيرة النبوية
Ahmed Amer
اشتري مني
TPP
د. طارق السويدان | السيرة النبوية ـ قصص الأنبياء
طارق السويدان
Kalam mn Lahb
Trend Media Stage
حواديت قبل النوم
أدهم أمين
Kefaya Ba2a | كفاية بقى
TPP
الأعمال الكاملة لـ د. أحمد خالد توفيق
Podcast Record
تجارب حقيقية حصرية
احمد يونس