Hotuba ya kitaifa ya Waziri Mkuu Anthony Albanese kuhusu uchumi unaokabiliwa na matatizo nchini humu, inayosababishwa na mgogoro wa nishati duniani, imepokewa kwa hisia mseto.
Today
Makala leo: 'Acha kutumia miili ya wanawake' kundi la misaada laonya, unyanyasaji wa kingono ukienea Sudan
Wanawake na wasichana wanaokimbia vita vya Sudan wanaelezea ubakaji, mateso na unyanyasaji, huku wafanyakazi wa misaada wakionya kwamba mateso yanazidi kuwa makubwa kuliko visa vinavyofikia huduma ya matibabu.
14m 26s