Wikendi iliyopita, jiji la Melbourne liliendelea kungara kwa rangi, muziki na Ladha za barani Afrika wakati wa tamasha la utamaduni wa afrika lililowajumuisha watu kutoka mataifa mbali mbali. Tamasha hilo lililoandaliwa Federation square, liliwaleta Pamoja maelfu ya wakaazi wa Melbourne na wageni kutoka majimbo tofauti, wote wakikusanyika kusherehekea urithi ... Show More
Yesterday
Taarifa ya habari:kimbunga fina, mvua, mafuriko na upepo mkali waendelea kuwaathiri wakaazi wa Queensland
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia. Una swali lolote au wazo la mada? Tutumie barua pepe kwa: australiaexplained@sbs.com.au
11m 21s