Serikali ya shirikisho yashinikizwa iongeze muda wa makato ya kodi ya mawese, ambayo imeratibiwa kuisha mwisho wa mwezi huu.
Apr 2024
Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchag ... Show More
29m 59s