logo
episode-header-image
Mar 2009
15m 1s

Somo 08 – Sikusikia tena kutoka kwake

DW.COM | Deutsche Welle
About this episode
Hakuna habari zozote kutoka kwa Ex... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu kwa kutumia haben na sein 
Up next
Mar 2009
Somo 26 – Tunataka tuwe pamoja tu
Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya 
15m 6s
Mar 2009
Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo
Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi 
14 m
Mar 2009
Somo 24 – Wafu hawafi milele
Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya 
15 m
Recommended Episodes
Mar 2009
Somo 26 – Neno la kichawi
Je, Ex anaweza kufanywa aonekane... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya 
14m 18s
Mar 2009
Somo 22 – Thüringen: Moyo wa kijani
Mkoa unajitangaza...Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya 
14m 52s
Mar 2009
Somo 23 – Ngano ya Barbarossa
Hadithi ya Kaizari mwenye ndevu nyekundu... Muhtasari wa sarufi: Vitenzi vya mahusiano (II) 
15m 8s
Aug 2009
Tukio 26 – Kumuaga Ayhan
Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe ... Show More
14m 57s
Mar 2009
Somo 16 – Matatizo ya kimazingira
Mjini Leipzig: Andreas anamtembelea Dr. Thürmann... Muhtasari wa sarufi: Vitendo jirejee (II) 
13m 49s
Aug 2009
Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli
Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee.Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchezo wao wa redio, Paula na Phil ... Show More
14m 10s
Aug 2009
Tukio 09 – Muziki wa Ludwig
Philipp pia anapata fununu ya kumtambua mgeni. Anaona tangazo gazetini la onyesho la muziki kumhusu Mfalme Ludwig. Akiwa njiani kwenda kwenye ukumbi, anawahoji watalii wanaozuru kutoka maeneo yote ulimwenguni. Huku Paula akiwa afisini mwake Berlin, Philipp naye anahangaika huku n ... Show More
15 m