Swala la Amani na Usalama, limekuwa mwiba na changamoto kubwa, kwa mataifa mengi barani Afrika hususan katika ukanda wa Afrika ya kati na Mashariki.