Uteuzi wa kiongozi wa chama cha NARC Kenya, Martha Karua kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga umezua gumzo ndani na nje ya Kenya.