Depression is a taboo in South Sudanese culture.
But a group of people living in Melbourne is determined to change that.
Devasted by a string of suicides in their community, they say it's time to break the silence around mental health, as Amadee Nizigama reports.
-Msongo wa mawazo ni tabia katika utamaduni wa Sudan Kusini.
Lakini kundi la watu wanaoishi Melbourne wanania ya kubadili hilo.
Wakihudhunishwa na matukio mengi ya kujiua katika jumuiya yao, wanasema ni wakati wa kuvunja ukimya kuhusiana na masuala ya afya ya akili, kama Amadee Nizigama anavyotupa taarifa.