The 2019 FIFA Women's World Cup, expected to be the richest and most-watched ever, is about to kick off in France.
There are 24 countries, including Australia, competing in the tournament, which this year runs for four weeks from June 7th ((to July 7)).
Here's Frank Mtao to tell you what you need to know.
-Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA mwaka 2019, linatarajiwa kuwa tajiri zaidi na kutazamwa zaidi, linakaribia kuanza nchini Ufaransa.
Kuna nchi 24, ikiwa ni pamoja na Australia, zinashindana katika mashindano, ambayo mwaka huu yataendeshwa kwa wiki nne kuanzia Juni 7 ((hadi Julai 7)).